KAULI YA KWANZA YA BENARD MEMBE BAADA YA KUFUTWA UANACHAMA WA CCM | MALUNDE 1 BLOG

Friday, February 28, 2020

KAULI YA KWANZA YA BENARD MEMBE BAADA YA KUFUTWA UANACHAMA WA CCM

  Malunde       Friday, February 28, 2020
Muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ikiongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Dkt Magufuli  kumfuta uanachama wa CCM Bernard Membe, Waziri huyo wa zaman wa Mambo ya Nje amefunguka na kutoa kauli.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Membe amewataka wafuasi wawe watulivu na kwamba ataliongelea hilo muda si mrefu.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post