KAULI YA MKE WA KOBE BRYANT TANGU AFIWE NA MUME WAKE NA MWANAE | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, January 30, 2020

KAULI YA MKE WA KOBE BRYANT TANGU AFIWE NA MUME WAKE NA MWANAE

  Malunde       Thursday, January 30, 2020

Vanessa Bryant ambae ni Mke wa Legend wa Basketball Marehemu Kobe Bryant, ameandika kwenye Instagram kwa mara ya kwanza toka kifo cha Mumewe, Mtoto wake na Watu wengine kwenye ajali ya Helikopta Jumapili iliyopita.


“Mimi na Watoto wangu wa kike tunashukuru mamilioni ya Watu walioonesha support na upendo kwenye kipindi hiki kigumu, asanteni kwa maombi hakika tunayahitaji

“Maneno hayatoshi kuelezea maumivu tuliyonayo sasa hivi, tumeumizwa na kifo cha Kobe na Gigi, walikua baraka sana kwetu wamechukuliwa mapema, tumeumizwa na vifo vya wengine pia waliokua pamoja”

“Kwa heshima ya Familia ya Mamba Family, Mamba Sports Foundation imeandaa mfuko wa kuchangia fedha kuzi-support familia nyingine zilizoathirika na msiba huu, kuchangia tafadhali nenda mambaonthree.org”


==>>Ujumbe wa Vanessa;“My girls and I want to thank the millions of people who’ve shown support and love during this horrific time. Thank you for all the prayers. We definitely need them. We are completely devastated by the sudden loss of my adoring husband, Kobe — the amazing father of our children; and my beautiful, sweet Gianna — a loving, thoughtful, and wonderful daughter, and amazing sister to Natalia, Bianka, and Capri.
    We are also devastated for the families who lost their loved ones on Sunday, and we share in their grief intimately.
    There aren’t enough words to describe our pain right now. I take comfort in knowing that Kobe and Gigi both knew that they were so deeply loved. We were so incredibly blessed to have them in our lives. I wish they were here with us forever. They were our beautiful blessings taken from us too soon.
    I’m not sure what our lives hold beyond today, and it’s impossible to imagine life without them. But we wake up each day, trying to keep pushing because Kobe, and our baby girl, Gigi, are shining on us to light the way. Our love for them is endless — and that’s to say, immeasurable. I just wish I could hug them, kiss them and bless them. Have them here with us, forever.
    Thank you for sharing your joy, your grief and your support with us. We ask that you grant us the respect and privacy we will need to navigate this new reality.
    To honor our Team Mamba family, the Mamba Sports Foundation has set up the MambaOnThree Fund to help support the other families affected by this tragedy. To donate, please go to MambaOnThree.org.
    To further Kobe and Gianna’s legacy in youth sports, please visit MambaSportsFoundation.org.

    Thank you so much for lifting us up in your prayers, and for loving Kobe, Gigi, Natalia, Bianka, Capri and me. #Mamba #Mambacita #GirlsDad #DaddysGirls #Family ❤️”


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post