Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) wakipeana mikono ya Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakati wa ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtoto Cephas Kinunda mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa parokia hiyo
Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa Kanisa Dkt. Adelhelm Meru mara baada ya
ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Novemba 17, 2019.
Social Plugin