Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika mkutano wa 18
wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika
ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika mkutano wa 18
wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika
ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
mara baada ya mkutano huo wa Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre(JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide
kabla ya kuanza mazungumzo katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann Linde katika ukumbi
wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide
mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic
uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre
(JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa mara baada ya kufungua
mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi
wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya
kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre
(JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya
Nje wa Sweden Ann Linde mara baada ya kumkabidhi zawadi ya Kamusi ya Kiswahili
na Kiingereza pamoja na kitabu cha Kiswahili mara baada ya kufungua mkutano wa
Nordic uliofanyika katika ukumbi wa
Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya kinyago cha
mpingo Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya
kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention
Centre (JNICC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland Pekka Haavisto kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi
wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC). PICHA NA IKULU
Social Plugin