WIZARA YA AFYA YAKANUSHA TANGAZO LA AJIRA 700 | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, October 9, 2019

WIZARA YA AFYA YAKANUSHA TANGAZO LA AJIRA 700

  Malunde       Wednesday, October 9, 2019

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakanusha Tangazo linalosambaa mitandaoni kuwa imetoa ajira mpya kwa vijana 700 wa Tanzania za uelimishaji namna ya uchangishaji damu na ukusanyaji wa damu vijijini.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post