CHADEMA WALIMWA BARUA NA MSAJILI WA VYAMA KWA KUTOFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA......WAPEWA SIKU 7 ZA KUJIELEZA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 3, 2019

CHADEMA WALIMWA BARUA NA MSAJILI WA VYAMA KWA KUTOFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA......WAPEWA SIKU 7 ZA KUJIELEZA

  Malunde       Thursday, October 3, 2019

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ameandika barua kwenda kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe hatua kwa kutokufanya uchaguzi wa viongozi wake.

Barua ya Msajili iliyoandikwa Oktoba 1, 2019 na kusainiwa na Sisty Nyahonza kwa niaba ya msajili wa vyama vya siasa inasema uongozi wa Chadema chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe umemaliza muda wake tangu Septemba 14, 2019.

Katika barua hiyo, msajili amekitaka chama hicho kutoa maelezo hayo kabla ya Oktoba 7, 2019 saa 9:30 mchana.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post