Picha : RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa habari nchini Tanzania (UTPC) unaofanyika leo Jumamosi Septemba 7,2019 katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil,Zanzibar.
Mkutano Mkuu wa UTPC umekutanisha pamoja viongozi wa Klabu za waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania - Picha kwa hisani ya Zanzinews.com

Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC,Abubakar Karsan akizungumza wakati wa Mkutano mkuu wa UTPC.
Rais wa UTPC,Deogratius Nsokolo akizungumza wakati wa Mkutano mkuu wa UTPC.
Balozi wa Sweden nchini Anders Sjoberg akizungumza wakati wa Mkutano mkuu wa UTPC.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni, akisalimiana na Rais wa UTPC Ndg. Deogratias Nsokolo. kuhudhuria hafla hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa UTPC , uliofanyika Zanzibar leo.


Picha ya pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Wenyeviti wa Klabu za waandishi wa habari nchini Tanzania.


Picha ya pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Makatibu wa Klabu za waandishi wa habari nchini Tanzania.

Picha ya pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Waweka Hazina wa Klabu za waandishi wa habari nchini Tanzania.

Picha ya pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi UTPC.

Picha ya pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na waandishi wa habari wakongwe nchini Tanzania.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527