WACHUMBA WALIOKUTANA FACEBOOK WAFUNGA NDOA

Kupata mchumba ambaye ana sera za kuridhisha ni kama kuukwea mlima kwani sio jambo rahisi. 

Kuwepo katika uhusiano wa kimapenzi na yule unayemuenzi ni jambo lenye msisimuko wa aina yake. 

Wanandoa wengi waliwahi kukutana mahali kabla ya kuanza uhusiano wa kimapenzi. 

Wanandoa kutoka Ghana waliokutana Facebook wamesherehekea mwaka mmoja tangu wafunge ndoa.

Tangu mitandao ya kijamii ilipopata umaarufu duniani, wengi wamekutana na kuanza urafiki ambao uliwapelekea kufunga ndoa na kuishi pamoja. 

 Kulingana na Afia, wawili hao walikutana kwenye Facebook na walikuwa marafiki tu kabla ya kuanza uhusiano wa kimapenzi na mwishowe wakafunga ndoa. 

Mwaka mmoja baadaye, Afia alichapisha ujumbe kwenye ukurasa wake wa Facebook akisherehekea mwaka wao mmoja tangu afunge ndoa na mpenziwe Ohene. 

Alirejelea kumbukumbu za jinsi mumewe alivyoanza kumvizia kwa kumtumia ujumbe. 

Kulingana na binti huyo, alijibu ujumbe na mumewe kwa unyenyekevu na mahaba ambayo hakuyaona mwanzo yakafuata baadaye. 

Afia Adutwumwaa is celebrating our wedding anniversary with Frederick Ohene Offei-Addo.
He was part of my over 4000+ Facebook friends without me knowing him until he decided to bring politics into my inbox knowing very well how much i love politics(Opana wanted to be smarter than the normal Ghanaian way of doing politics on social media😝). I responded to his messages respectfully but in my head i was like....this guy thinks he is smart aaama😡, I don’t even know what happened next but few months afterwards i realized boooooommmmmπŸ€ͺ, we were at the altar exchanging vows to be each other’s keeper till deathπŸ₯°. My dearest Frederick Ohene Offei-Addo today marks exactly a year we became one in holy matrimony and on our anniversary the good Lord decided to bless us with a cute little angel πŸ‘ΌπŸΎ who is just as cute and adorable like u😍. Growing up i knew angels do live up in the skies but I never knew i will be living with one on earth and as my heart beat for life❤️. Ohene Kwesi wo da da wai na i will be loving u till we grow old, but just remember i am going to be ur permanent bitch for life🀸🏽‍♂️🀸🏽‍♂️🀸🏽‍♂️. Not all the guys in our inboxes are preys, some are for real, just be wise and vigilant enough and remember prayer works a lotπŸ™ŒπŸ½.#AyearDownForeverToGoπŸ™πŸ½.....#AbrewaNana✌🏽

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post