WAKAZI WA KISARAWE, PWANI KUPATA MAJISAFI NA SALAMA IFIKAPO MWEZI AGOSTI


Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa tatu toka kulia) akipata maelezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa Usambazaji wa Maji Mhandishi Kakwezi wakati akikagua ulazaji wa mabomba ya maji kutoka kwenye tenki la Kibamba na kuelekea tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Uchimbaji wa mitaro wa ajili ya kulaza mabomba ukiendelea.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo wakati akikagua ulazaji wa mabomba ya maji kutoka kwenye tenki la Kibamba na kuelekea tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. 
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akipata maelezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa Usambazaji wa Maji Mhandishi Kakwezi wakati akikagua ujenzi wa tenki la Kibamba litakalokuwa likipeleka majisafi na salama kwenye tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. 
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo mara baada ya kufika kwenye umaliziaji wa ujenzi tenki la Kisarawe litalokuwa likiwasambazia wakazi wa Pwani.
Mabomba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo mara baada ya kufika kwenye zoezi la uchimbaji wa mitaro ya kulaza mabomba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki katika uchimbaji wa mitaro eneo la Kisarawe- Pwani.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongea na wanahabari na wananchi waliofika kuangalia zoezi la utandikaji wa mitaro kwa ajili ya kulaza mabomba itakayokuwa ikiwasambazia wakazi wa Pwani.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527