Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na usimamizi wa sasa uliimarishwa zaidi.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako