Breaking : HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2018 - SECOND SELECTION


TAARIFA KWA UMMA.

 Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano Awamu ya Pili kwa mwaka 2018 wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 21 hadi 30 Septemba, 2018 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. 




Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 30 Septemba, 2018 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake atakuwa ameipoteza.

 Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano Awamu ya Pili pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz 

Mwanafunzi mara upatapo jina umechaguliwa inabidi uangalie fomu ya kujiunga na shule husika kwenye mtandao na huwajibiki kwenda kwenye shule husika wala kupiga simu.

 Imetolewa Katibu Mkuu, OR-TAMISEMI

BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2018

ORODHA YA WANAFUNZI WA 2ND SELECTION SEPT 2018




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527