TCRA YAFAFANUA KUHUSU KUONDOA CHANNEL ZA TV ZA NDANI ZINAZOTAZAMWA BILA KULIPIA KUTOKA VING'AMUZI VYA AZAM,MULTICHOICE NA ZUKU

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku.


Theme images by rion819. Powered by Blogger.