RC MPYA KAGERA BRIGEDIA JENERALI GAGUTI ATINGA OFISINI....AMWAPISHA DC MPYA KYERWA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu (Kushoto) akimkabidhi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti leo Jumatatu Agosti 6,2018 - Picha zote na Editha Karlo - Malunde1 blog

Kulia ni Rashid Mwaimu akila kiapo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa  leo katika ukumbi wa halmashauri ya Chemba
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Rashid Mwaimu baada ya kumuapisha
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kagera mara baada ya kuripoti kazini leo


Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wa Mkoa wa Kagera wakishuhudia makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu wa Mkoa na kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Rashid Mwaimu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527