MWIGULU NCHEMBA AFUNGUKA KUHUSU NDEGE MPYA AINA YA BOENG 787-8 DREAMLINER

Rais Dr. John Pombe Magufuli jana ameipokea ndege mpya aina Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.


Baada ya mapokezi hayo baadhi ya watu wamekuwa wakitoa pongezi zao akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba ambapo ameandika katika ukurasa wake Twitter kuwa; 


“Historia nyingine imeandikwa, tunakila sababu ya kujivunia maendeleo haya, Asante serikali yetu chini ya Rais J.Magufuli kwa hatua hii nyingine kubwa ya kuipeleka nchi yetu mbele katika usafiri wa anga.”
Theme images by rion819. Powered by Blogger.