CROATIA WAITWANGA URUSI...KUKUTANA NA ENGLAND NUSU FAINALI


Ivan Rakitic ameifungia Croatia penalti ya ushindi, mwisho kwa Urusi

Urusi 3-4 Croatia (Mikwaju ya Penalti)

Mwisho wa wenyeji Kombe la Dunia 2018, Ivan Rakitic amefunga mkwaju wake wa mwisho na sasa Croatia ndio watakaokutana na England nusu fainali.

Kwa Urusi, ndio mwisho wa kushinda Kombe la Dunia mwaka huu.

Wameondoka kwa kushindwa 3-4 kwa mikwaju ya baada ya mechi baada ya mechi kumalizika 2-2 muda wa kawaida na wa ziada.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.