Video Mpya : ASLAY - TOTOA.....NGOMA KALI SANA

Msanii wa Bongofleva na hit maker wa ngoma ya ‘Natamba’ Aslay Isihaka  usiku wa Julai 12,2018 ameachia video ya ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Totoa’ itazame hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.