Monday, April 9, 2018

PADRI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KANISANI

  Malunde       Monday, April 9, 2018
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo leo April 9, 2018 ni kwamba kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufariki Mashariki mwa nchi hiyo.

Taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari nchini humo ni kwamba Padri huyo √Čtienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo mtu mwenye silaha alipoingia kanisani na kumpiga risasi.

Inafikiriwa kuwa muuaji huyo ni sehemu ya kikundi cha waasi cha Mai Mai Nyaturaambacho ni miongoni mwa vikundi vinavyopambana kudhibiti jimbo hilo lenye rasilimali za madini ikiwa ni pamoja na kuiba mali za wanakijiji.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post