Video mpya !! NG'WANA NCHAINA - GHUTUNA...NGOMA KALI SANA YA KISUKUMA


Malunde1 blog ni kisima cha Nyimbo za asili...Tayari tunayo ngoma mpya ya Msanii Ng'wana Nchaina maarufu Bhugakamba kutoka Kahama mkoani Shinyanga wimbo unaitwa Ghutuna ....Nchaina ni mdogo wake Msanii Nyanda Madirisha 'The Super star' aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki akiwa kwenye Show mkoani Simiyu mwaka 2016 kisha Nchaina kurithi mikoba ya kaka yake.


Tazama video hii kali sana iliyoongozwa na Manwell
Theme images by rion819. Powered by Blogger.