MAKAMU WA RAIS TFF,MICHAEL WAMBURA AFUNGIWA MAISHA KUJIHUSISHA NA SOKA


Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia maisha kutojihusisha na shughuli za Soka Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura.

Wambuwa amefungiwa kutokana na kupokea fedha zisizo halali kiasi cha Shilingi milioni 84, kugushi nyaraka za malipo, na kula njama kulipwa fedha na waliokua viongozi wa TFF Jamal Malinzi na Selestin Mwesigwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments