YANGA YATINGA ROBO FAINALI MICHUANO YA SHIRIKISHO

Klabu ya Yanga imeingia hatua ya robo fainali (nane bora)  michuano ya shirikisho  "Azam Sports Federation Cup" baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya majimaji mchezo uliochezwa leo mjini Songea.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Pius Buswita dakika ya 40"  na Emmanuel Martin dakika ya 57"  Huku goli la kufutia machozi la Mjimaji likifungwa na Jafar Emmanuel  dakika ya 61"
Theme images by rion819. Powered by Blogger.