Wimbo mpya : KEMA HEWA - NASESEJE....NGOMA KALI BALAA


Ninayo hapa ngoma mpya ya Mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Kema Hewa Kutoka Ushetu wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Naseseje. Wimbo huu umetengenezwa katika Bhujiku Studio 'Bfaster' mjini Bariadi mkoani Simiyu.


 Sikiliza hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.