WATEJA WA TIGO MBEYA WAPATA HUDUMA ZA BIDHAA KWA BEI NAFUU MSIMU HUU WA TIGO FIESTA


Msimamizi msaidizi wa Duka la Tigo mkoani Mbeya, Elifazi Mtwale akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani hapo kupata huduma mbalimbali kwa bei nafuu msimu huu wa Tigo Fiesta leo. 
Mtoa huduma wa Duka la Tigo mkoani Mbeya, Janeth Rwanga akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani hapo kupata huduma mbalimbali kwa bei nafuu msimu huu wa Tigo Fiesta leo. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post