RC GAMBO AZINDUA MRADI WA UTOAJI MITEGO KWA WANYAMAPORI (DE -SNARING PROJECT)

Mwenyekiti wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour  Operators) Ndugu Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikwa  kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori 
(FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya  Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by  Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini  Arusha.
Wageni Waalikwa wakipata vinywaji kabla ya Uzinduzi wa Mradi (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project)
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Utalii Nchini (TATO), Ndugu Sirili Akko  akiwakaribisha na kutoa ratiba fupi kwa wageni waalikwa kabla ya kuanza  kwa Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti 
Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti.
Wadau wa Habari wakiwa katika Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha. 
Meza Kuu, Wa tatu kutoka Kulia ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mrisho Gambo, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro , Ndugu Chambulo, Mzee Nunes ,
Ndugu Gerald Bigurube (FZS-TZ) na Dk. Simon Mduma (TAWIRI) katika Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti

Mzee Nunes akitoa Mada fupi katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
Wadau wa Utalii nchini wakisikiliza kwa Umakini katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
Wadau wa Mradi , Kutoka Kushoto ni Ndugu William Mwakitelima (TANAPA), Ndugu  Abraham Saidea (DE-SNARING TEAM), Ndugu Erik Winberg (FZS Project  Manager) 
Wageni waalikwa 
Kamati ya Maandalizi
Meneja wa Mradi, Ndugu Erik Winberg akitoa Maelezo na Picha ya Mradi wa utoaji mitego kwa Wanyama pori

Ndugu Abraham Saidea, akionyesha Nyaya zitumikazo kutega wanyamapori katika mbuga ya Wanyama ya Serengeti katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 
Msaidizi wa Mradi, Ndugu Abraham Saidea akitoa maelezo ya jinsi Majangili  wanavyowatega kwa waya Wanyamapori katika Mbuga ya Serengeti katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 

Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada 
Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada 
Ndugu Salehe akiuliza swali 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akisalimia na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ili kuzindua mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizindua Mradi  wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 

Ugawaji wa Vyeti kwa wadau wa Utalii katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi

Ndugu Hanspaul ,akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 
Dk. Simon Mduma akitoa neno la Shukrani kwa wadau wa utalii katika Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme 
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 
Ndugu Chambulo, akitoa neno la Hitimisho mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post