Maajabu: MBUZI ANAYEFANANA NA BINADAMU AZALIWA MBEYA ,ANGALIA HAPA


Wakazi wa kijiji cha Igurusi kata ya Igurusi tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamepigwa butwaa baada ya mbuzi aliyepo katika kijiji hicho kuzaa mtoto anayefanana na binadamu kama unavyoona kwenye picha.

Tukio hilo limetokea leo Jumanne Oktoba 31,2017 majira ya saa 2 asubuhi, nyumbani kwa mkazi wa kijiji hicho maarufu Mwakasinga.
Muonekano wa mbuzi anayefanana na binadamu - Picha na John Robert - Malunde1 blog
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527