KAMPUNI YA MSAMA YAKAMATA WAFANYABIASHARA WA DVD NA CD FEKI ZA MIZIKI,FILAMU NA NYIMBO


Askari Kanzu na maofisa wa Kampuni ya udalali ya Msama wakihakiki na kukamata sehemu ya wafanyabiashara wa DVD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu baada ya kumkamata mfanyabishara (kushoto pichani) akiziuza katika Mtaa wa Likoma Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs) 
Mfanyabishara (kushoto pichani) akitafakari huku Askari Kanzu akikusanya sehemu ya DvD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu baada ya kumkamata mfanyabiashara huyo akiziuza katika Mtaa wa Likoma Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. 

Maofisa wa Kampuni ya udalali ya Msama na TRA wakihakiki na kuwatia mbaroni wafanyabiashara wanaotuhumiwa kufanya biashara ya DvD na CD zenye Muvi, Nyimbo za Injili na za kawaida zisizo na stika ya TRA, pia zinasadikiwa kurudufiwa pasipo kufuata utaratibu. 

Sehemu ya wafanyabiashara wa DVD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu wakiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa Mtaa wa Likoma Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. 

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishudia shemu ya wafanyabiashara wa DVD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu wakiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa Mtaa wa Likoma Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. 
Mfanyabiashara wa DVD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa Mtaa wa Magila Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. 
DVD na CD za Miziki, Muvi na nyimbo zilizorudufiwa pasipo kufuata utaratibu zikiwa kwenye gari tayari kuambatanishwa na watuhumiwa waliokutwa wakifanya baishara katika Mtaa wa Likoma na Magila Kariakoo jijini Dar es Salaam Oktoba 30 2017. 
Askari Kanzu na baadhi ya watumishi wa Msama Auction Mart wakihakiki na kufungasha DvD na Cd zililokutwa zikiuzwa bila kuwekwa nembo ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) pia zinasadikiwa kurudufiwa kinyume cha haki miliki za wamiliki halali wa Muvi, Miziki na Nyimbo za Injili husika katika mtaa wa Likoma Dar es Salaam jana. 
Zoezi la uhakiki tena baada ya kuwasili kitu cha polisi baada ya kukamilisha zoezi la kuwakamata watuhumiwa wa baishara haramu ya DvD, CD zenye Muvi, Miziki na Nyimbo za Injili wakati wa zoezi la ukataji jana. 

Zoezi la uhakiki tena baada ya kuwasili kitu cha polisi baada ya kukamilisha zoezi la kuwakamata watuhumiwa wa baishara haramu ya DvD, CD zenye Muvi, Miziki na Nyimbo za Injili wakati wa zoezi la ukataji jana. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527