WASANII WA TIGO FIESTA WATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGANZA JIJINI MWANZA NA KUTOA ELIMU YA KUJITAMBUA


Msanii Ommy Dimpoz akipamtia zawadi ya pesa taslimu ya shilingi 50,000/-mwanafunzi bora wa kidato cha sita wa shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza, Glory Wilfred wakati wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea shule hiyo juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Msanii Alli Kiba akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Wasanii wakiwa wamesimama kusali pamoja na wanafunzi wa shule ya Nganza, maombi yaliyoombwa na mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo(hayupo pichani)
Msanii Ali Kiba akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Msanii Ray Vanny akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza mara baada ya kumaliza programu ya Kipepeo.
Msanii Roma Mkatoliki akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi kwenye programu ya kuelimisha wanafunzi msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Msanii Saida Karoli akiwapungia mikono kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Nganza .
Msanii Ray Vanny akipiga picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza .
Sehemu ya wanafunzi wakifuatilia progamu ya Kipepeo.
Wasanii wakiwa wamesimama kusali pamoja na wanafunzi wa shule ya Nganza, maombi yaliyoongozwa na mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo(hayupo pichani)
Wasanii wakiondoka mara ya kumaliza programu yao ya kuelimisha wanafunzi jinsi ya kujitambua maishani , wakati wa shule na baada ya shule.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527