Umenifikia wimbo huu mpya wa Msanii Kema Hewa kutoka Nyamilangano -Ushetu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Ulevi. Inahusu madhara ya ulevi ikiwemo kushindwa kupeleka watoto shule.Wasiliana na Kema Hewa kwa simu namba 0685 190 850.
Sikiliza ngoma hii hapa chini