Video Mpya : MASTER MAN Ft MKAPO KAPO - MAUAJI YA ALBINO....NGOMA KALI ILIYOFANYWA NA WATU WENYE UALBINONinayo hapa video ya Mayunga Maduhu maarufu Master Man akimshirikisha Mkapo Kapo inaitwa ‘Mauaji ya Albino’.Hawa ni vijana wenye ualbino kutoka kundi la Tumaini Crew wanaotoka mikoa ya Shinyanga na Simiyu wanaodhaminiwa na Shirika la Shade Tanzania linafanya shughuli zake katika manispaa ya Shinyanga. 

Mbali na kujihusisha na Muziki vijana hawa wanazalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo sabuni za aina zote,batiki na bidhaa za ufundi.
Tumia dakika zako chache kutazama video hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post