KADA WA UVCCM ALIYEJIFANYA USALAMA WA TAIFA AMEACHIWA HURU TENA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa.

Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haina sababu ya kuendelea na kesi hiyo.

Hii ni mara ya nne shauri hilo linafikishwa Mahakamani lakini linaondolewa kwa sababu ya Jamhuri kutotaka kuendelea nayo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post