KAMPENI YA JAZA UJAZWE UJAZIWE ZAIDI YATIKISA MAONESHO YA SABASABA DAR ES SALAAMMeneja wa Huduma za Biashara Tigo, Suleiman Bushagama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya Jaza Ujazwe ujaziwe zaidi ya kila wiki ambapo mshindi, Alishady Kihongo Msaji toka Arusha alijishindia simu aina ya Samsung S8. Pichani kushoto ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed na Balozi wa Tigo Jaza ujazwe ujaziwe zaidi Lucas Mhavile JOTI .
Balozi wa Tigo Jaza ujazwe Ujaziwe zaidi JOTI akiwa na mteja wa Tigo, Jane Mushi wa salasala Dar wakati wa kampeni za klia wiki za Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi kwenye banda la Tigo Sabasaba leo. Kampeni ambazo washindi ujipatia simu aina ya samsung S8, muda wa maongezi na intaneti ya bure mwaka mzima 
Balozi wa Tigo Jaza ujazwe Ujaziwe zaidi JOTI akisherehesha umati wa wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojaa katika banda la tigo 
Meneja wa Huduma za Biashara Tigo, Suleiman Bushagama akichezesha droo ya Jaza Ujazwe ujaziwe zaidi ya kila wiki ambapo mshindi, Alishady Kihongo Msaji toka Arusha alijishindia simu aina ya Samsung S8. Pichani kushoto ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed na Balozi wa Tigo Jaza ujazwe ujaziwe zaidi Lucas Mhavile JOTI 
JOTI akifanya yake kwenye kampeni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post