Video: JINSI SERIKALI ILIVYOLIFUNGIA GAZETI LA MAWIO KWA KUCHAPISHA PICHA MARAIS WASTAAFU TANZANIA
Friday, June 16, 2017
Alhamisi ya Juni, 15 Serikali ilitangaza kulifunga gazeti la MAWIO kutochapishwa kwa muda wa miezi 24, sababu ikitajwa kuwa ni kuchapisha mbele picha ya Marais wastaafu, Mkapa na Kikwete na kuwahusisha na sakata la mchanga wa madini.
Hapo chini kuna video ya Mkurugenzi Mtendaji wa Habari-MAELEZO, Dk. Hassan Abbas akitangaza kulifunga gazeti hilo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin