HIZI HAPA NCHI 20 ZENYE MABILIONEA WENGI ZAIDI DUNIANI 2017


Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, leo April 8 2017 nakusogezea orodha ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu wa tovuti ya takwimu ya Statista.

Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552. Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post