
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Idd Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Viongozi wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa ni Askofu Josephat Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ambao waliripoti jana
Social Plugin