AGIZO LA DKT. KIGWANGALLA KUHUSU WANAUME WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJANaibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla February 6 2017 ameingia kwenye vichwa vya habari kwa ishu ya vijana Watanzania wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Dr. Kigwangalla ameagiza wafuatao wafike wenyewe Kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa…. James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa mama.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post