Picha: MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA -UTPC 2016

 
Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini  Tanzania (UTPC), Deogratius Nsokolo, akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (Union of Tanzania Press Club- UTPC) unaofanyika La Kairo Hotel Jijini Mwanza kwa siku mbili  kuanzia leo Oktoba 06,2016 na Oktoba 07,2016.-Picha zote na George Binagi wa Binagi Media Group na Kadama Malunde wa Malunde1 blog


Mkutano huo wenye kauli mbiu ya "Viongozi Mustakabali wa Press Clubs Upo Mikononi Mwenu"unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiliwa na Shirika la "The Swedish International Development Cooperation Agency (SIDA)"
Viongozi wa UTPC wakiwa kwenye mkutano huo ambapo kutoka kulia ni Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan, Rais wa UTPC, Deogratius Nsokolo, Makamu wa Rais wa UTPC, Jane Mihanji na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili UTPC Abdallah Mfaume
Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akiwa na wajumbe wengine kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC

Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kushoto) akiwa na wajumbe wengine kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC

Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC.Kulia ni mwenyekiti wa Katavi Press Club,Walter Mguluchuma
Mweka Hazina Mara Press Club akichangia jambo kwenye mkutano huo


Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akisalimiana na Rais wa UTPC, Deogratius Nsokolo (kushoto) kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akisalimiana na Makamu wa Rais wa UTPC, Jane Mihanji (kushoto) kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoani Shinyanga, Kadama Malunde (kulia) akisalimiana na Rais wa UTPC, Deogratius Nsokolo (kushoto).




Viongozi wa UTPC wakiwa wamesimama kwa muda wa dakika moja kuwaombea waandishi wa habari waliofariki dunia



Wajumbe wa bodi UTPC wakiwa wamesimama kwa muda wa dakika moja kuwaombea waandishi wa habari waliofariki dunia



Wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa wamesimama kuwaombea waandishi wa habari waliofariki dunia







Mwenyekiti wa Singida Press Club Ranko Banadi akibadilishana mawazo na mweka hazina wa Kigoma Press Club,Bi Mwajabu






*****************************************


Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kuusoma na kuuelewa vyema mswada sheria ya huduma ya vyombo
vya habari 2016, uliowasilishwa na Serikali bungeni mjini Dodoma, kwa ajili ya kutoa maoni yao juu ya mswada huo.

Rai hiyo imetolewa na Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC Deo Nsokolo,
  wenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano huo, unaofanyika kwa siku mbili Jijini Mwanza kuanzia leo.
 
Nsokolo amesema tayari kamati ya bunge imekwisha kabidhiwa mswada huo kwa ajili ya kukusanya maon hivyo ni vyema waandishi wa habari ambao wanaguswa moja kwa moja
na mswada huo, wakausoma kiundani na kisha kutoa maoni yao kabla ya kuwasilishwa bungeni ili kuidhinishwa.

Akiwasilisha mswada huo katika bunge lililopita, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, alisema ikiwa mswada huo utapitishwa na bunge kuwa sheria,
utasaidia kuleta mageuzi makubwa ya kitaaluma kwa wanahabari pamoja na huduma za vyombo vya habari nchini.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post