Picha 54: MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI,KITAIFA MKOANI SHINYANGAHapa ni katika ukumbi wa mikutano katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako leo Jumanne,Oktoba 11,2016 kumefanyika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike,ambapo kitaifa limefanyika mkoani Shinyanga.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu.Angalia matukio katika picha kilichojili ukumbini.

Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert Msovela akitambulisha wageni mbalimbali
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akizungumza
Mkuu wa mkoa akizungumza
Kulia ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba,kushoto ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga Agnes Machiya

Alhaji Ibrahim akichangia hoja katika kongamano hilo


Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack,kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa
Kushoto ni mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mheshimiwa Azza Hilal,akifuatiwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu,Boniface Butondo na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Ngassa Mboje wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakiwa ukumbini
Kongamano linaendelea
Wenyeviti wa halmashauri za wilaya wakiwa ukumbini
Wakurugenzi wa halmashauri wakiwa ukumbini
Viongozi wa madhehebu ya dini wakiwa ukumbini
Watumishi wa serikali na wadau wakiwa ukumbini
Wadau mbalimbali wakiwa ukumbini
Wadau wakiwa ukumbini
Kongamano linaendelea
Wadau wakiwa ukumbini
Wadau wakiwa ukumbini
Kongamano linaendelea
Wadau wakiwa ukumbini
Kongamano linaendelea
Wadau wakiwa ukumbini


Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea
Wadau wakiwa ukumbini
Kongamano linaendeleaWaandishi wa habari wakiwa ukumbini

Tunafuatilia kinachoendelea...

Mwakilishi kutoka FEMINA akizungumza ukumbiniMwenyekiti wa Baraza la watoto Tanzania akizungumza


Mmoja wa watoto wahanga wa ndoa za utotoni Leocadia kutoka shirika la AGAPE akitoa ushuhuda ukuminiMwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa akichangia hoja ukumbini


Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea ukumbini


Kongamano linaendelea

Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal akichangia hoja


Mwakilishi kutoka shirika la Save the Children akizungumza ukumbini
Picha ya pamoja mgeni rasmi na watoto
Picha ya pamoja mgeni rasmi na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama
Picha ya pamoja mgeni rasmi na mbunge na wenyeviti wa halmashauri za wilaya
Picha ya pamoja mgeni rasmi na wakurugenzi wa halmashauri za wilaya
Picha ya pamoja mgeni rasmi na wajumbe wa sekretariati ya mkoa
Picha ya pamoja mgeni rasmi na viongozi wa dini
Picha ya pamoja mgeni rasmi na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga Boniface Chambi
Picha ya pamoja mgeni rasmi na watendaji wa serikali mbalimbali
Picha ya pamoja mgeni rasmi na wadau mbalimbali

Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post