Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.
Mamia ya Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana wakiwa wameziba barabara ili wamsikilize Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Jonh Pombe Magufuli wakati alipowasili Mwanza akitokea Wilayani Sengerema Agosti 10,2016-Picha na IKULU
Social Plugin