Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma Yazidi Kuiva..Kuna Hii Taarifa Kutoka kwa Nape Nnauye
Saturday, July 16, 2016
Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva. Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika Julai 21, 2016, na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) siku ya pili, Julai 22, 2016.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin