Balozi Mdogo wa Omani Huko Zanzibar Ali Abdalah Rashid Amefariki DuniaMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi na viongozi wa serikali wakiuaga mwili wa Balozi mdogo wa Oman Zanzibar Balozi Ali Al-Rashid aliyefariki jana kwa ugonjwa wa shindikizo la damu,ambapo umesafirishwa leo kwa ndege ya Oman Air ktk uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar saa nane mchana leo 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post