KUHUSU KIVUKO CHA MV KIGAMBONI KULETA BALAA LEO..SABABU NI HIITafrani ilizuka Kivuko Cha Mv Kigamboni mapema leo asubuhi baada ya kivuko hicho kupata hitilafu na kuzua taharuki kwa abiria waliokuwa wakivuka huku wengine wakiruka hovyo ili kuweza kujiokoa. Chanzo kimeeleza huenda hitilafu hiyo ilitokana na kivuko hicho kuzidisha abiria.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527