Saturday, January 2, 2016

DIAMOND NOMA SANA!! KANYAKUA TUZO YA NIGERIA..AMEANZA VIZURI MWAKA 2016

  Malunde       Saturday, January 2, 2016


2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria.

List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumz nae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja tu ya wasanii toka nje ya Nigeria ambayo Diamond kawashinda akina Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana.

Washindi wote wa Tuzo za HEADIES 2015 hii hapa.
Best Street-Hop Artiste – Olamide (Bobo)
Best Pop Single –Korede Bello (Godwin)
Best Vocal Performance (Male) – Timi Dakolo (Wish Me Well)
Best R&B Single – Timi Dakolo (Wish Me Well)
Best Rap Single – Vector (King Kong)
Hall of Fame Recipient – 2Face Idibia
Best Vocal Performance (Female) – Aramide (Iwo Nikan)
Best Reggae Dancehall Single – Cynthia Morgan (German Juice)
Best Music Video – Unlimited LA for Reekado Banks (Katapot)
Best Collaboration – Reminisce Feat. Olamide & Phyno (Local Rappers Remix)
Best Rap Album – M.I Abaga (Chairman)
MTN Music+ Next Rated – Landy (Akanchawa)
Producer of the Year – Legendury Beatz (Ojuelegba)
Lyricist of the Year – Vector (King Kong)
Next Rated Artiste – Reekado Banks
Hip-Hop World Revelation of the Year – Yemi Alade
Recording of the Year – Timi Dakolo (Wish Me Well)
Best Alternative Song – Adekunle Gold (Sade)
Special Recognition – Don Jazzy
Best RnB & Pop Album – Wizkid (Ayo)
Song of the Year – Wizkid (Ojuelegba)
Artiste of the Year – Olamide
African Artist of the Year –Diamond Platnumz
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post