WATUMISHI WA HALMASHAURI WALIOIBA MAHINDI YA MSAADA HUKO MASWA WAFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Watumishi wawili wa halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wamefungwa jela miaka mitano kwa kosa la wizi wa mahindi ya msaada ktk kijiji cha Masamwa tukio la wizi walikifanya Januari 7 na 8,2013.Mahindi hayo ni Tani 10.77 zenye thamani ya Sh 13275000.Waliokumbwa na adhabu hizo ni CHARLES KISENHA (VEO BUSHITALA)na ISACK GAMBISHI(AFISA KILIMO KATA YA BUSILILI)

Na Samwel Mwanga-Malunde1 blog Simiyu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527