Maajabu!! NDOA YAFUNGWA INGAWA BWANA HARUSI KAFARIKI,ANGALIA VIDEO HAPA,IMETOKEA HUKO KENYA


Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa.Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… lakini kwa sababu mipango ya harusi ilikamilika kwa asilimia kubwa, ilibidi shughuli za msiba na mazishi zifanyike kila kitu kama harusi ilivyopangwa.

Video na stori yote hii hapa kutoka kituo cha Citizen TV Kenya.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527