Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TB JOSHUA AKUTANA NA VIONGOZI WA UKAWA...YUMO LOWASSA,MBOWE,KINGUNGE NA MBATIA

Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe, James Mbatia pamoja na mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo maalum.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com