HII NDIYO ORODHA YA WATU 10 WANAOKUBALIKA ZAIDI DUNIANI



Jarida la Forbes wameitambulisha hii list November 04 2015, na unaambiwa majina haya 10 ndio yameonekana kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kukubalika Duniani.


Kabla ya kuitambulisha list, Forbes walifanya kazi ya kutafiti vitu vingi sana ikiwemo kuangalia mtu huyo ni kiongozi wa watu wengi kiasi gani, utajiri wake, anakubalika kiasi gani na anatuamiaje nafasi aliyonayo?

Hapa ni majina kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho mtu wangu.
Vladimir Putin — Rais wa Russia


Angela Merkel – Chancellor wa Ujerumani


Barack Obama — Rais wa Marekani


Pope Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani


Xi Jinping – Rais wa China


Bill Gates — Boss wa Kampuni ya Microsoft


Janet Yellen – Mtaalam wa masuala ya Uchumi Marekani


David Cameron —Waziri Mkuu wa Uingereza


Narendra Modi – Waziri Mkuu wa India


Larry Page – Boss wa Kampuni ya Google

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post