

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano 21/10/2015

Baada ya mkutano wa kwanza kuhairishwa kutokana na uwanja wa Tangamano kuzudiwa na wingi wa watu nakupelekea watu zaidi ya 100 kuzimia kwa kukosa hewa. Jumatano 21/10/2015,uwanja wa Indian Ocean ndiyo ulioweza kuwakusanya pamoja wananchi wa Tanga,ingawa wawalikuwa maelfu kwa maelfu

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Tanga katika uwanja wa Indian Ocean leo Jumatano 21/10/2015































Social Plugin