KIGOGO MWINGINE WA CCM,AIPIGA CHINI CCM NA KUTANGAZA KUSAKA MABADILIKO UPINZANIAliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mafia Omary Kimbau kupitia CCM jimbo la Mafia leo ametangaza Kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia chama cha wananchi Cuf kwa kile alichokieleza kutokurishishwa kwake kwa namna Mchakato wa Kura ya Maoni Jimbo la Mafia.


Mhe.Kimbau amesema ameamua kufanya maauzi hayo baada ya kuikosa haki ndani ya Chama Cha Mapinduzi,na kusema kwamba kwa kumbukumbu zake anayakumbuka maneno ya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyesema ikifika kipindi watanzania wakiyataka mabadiliko,watayapata ndani ya ccm,wakiyakosa hapana budi kuyatafuta nje ya CCM...hivyo lazima aliona mbali na kujua ipo siku hayo yanaweza kutokea...

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post