HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE,SOMA ZAIDI HAPA





Hatimiliki Training Center S.L.P 354 Bagamoyo inatangaza kozi zifuatazo:

 1.Basic Hotel Management Course Miezi 9.
2.Computer Course miezi 3.

3.Nursery School Teaching Course miezi 9.
4.Basic English Language Course miezi 3.

NB:Walengwa ni wale waliomaliza kidato cha nne na Kuendelea.

Field itafanyika Zanzibar,Arusha,Mikumi na Bagamoyo.
Ada ni nafuu sana na utalipa kwa awamu na huduma ya Hostel ipo.

Njoo usome katika mji wa Kihistoria Duniani.

Intake inaanza Julai 13,2015,Wahi nafasi mapema,wahi upate ajira ya Taaluma kwa Vijana.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0784 684 809 au 0715  684 809



Wanafunzi wa Hatimiliki Training Center wakiwa darasani


Wanafunzi wa Hatimiliki Training Center wakiwa katika Tour

Wanafunzi wakiwa nje ya darasa

Huduma ya hostel pia ipo

Masomo nje ya darasa

Wanafunzi wakiwa darasani

Baadhi ya Wanafunzi wa Hatimiliki Training Center


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527