Kikao cha bunge kimeahirishwa hadi kesho saa 3 Asubuhi kutokana na msiba wa mbunge wa Geita Donald Max aliyefariki jana. Spika wa Bunge Anna Makinda amesema marehemu Donald Max atazikwa Dar es salaam Jumamosi Juni 27.

R.I.P Donald Max