Habari Inachekesha!!! NDOA IMEVUNJIKA...MUME AKAONA HERI WAGAWANE NUSU NUSU,IKAWA BALAA TUPU.. ANGALIA PICHA NA VIDEO HAPA

half-an-opel-corsa-der-juli-ebay1

divorce-half-of-everything-12
Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??
Der Juli ni jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe baada ya ndoa kufikia mwishoni.
Cheki pichaz za vitu vyewewe sasa !!
half-a-macbook-pro-der-juli-ebay
Hii ni laptop ya Apple, hapo ndio imeshagawanywa nusu yani!
half-a-mailbox-der-juli-ebay1
Hili ni sanduku la barua, na lenyewe limegawanywa tayari.
half-an-iphone-5-der-juli-ebay1
iPhone nayo haikuachwa.
half-an-opel-corsa-der-juli-ebay1
Gari ndogo ya kutembelea, Opel Corsa nayo iko nusu hapo.
half-a-samsung-tv-der-juli-ebay1
TV ya Samsung nayo iko nusu.
half-a-teddy-bear-der-juli-ebay1
Mdoli nao ulikutwa na huu mkasa wa kugawanywa nusu !!
half-of-four-chairs-der-juli-ebay1
Viti vya kukalia.
Helmet
Helmet ambayo inavaliwa kichwani ukiendesha pikipiki
divorce-half-of-everything-6
enhanced-3911-1434633611-9
Hii nusunusu unaionaje mtu wangu, iko sawa kweli? Nipe comment yako hapa chini

Hapa kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post